Mzee Hamisi alikuwa mwajiriwa katika wizara moja nyeti ya Serikali. Akiwa mtumishi mwandamizi na mkuu wa kitengo, mzee Hamisi ...
Kutokuwepo kwa uwiano wa kodi kati ya Tanzania na nchi jirani kunatajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazosababisha mazingira yasiyo sawa, hivyo kuchochea usafirishaji wa dhahabu kwa ...
Aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni (CCM) na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Dk Faustine ...
Kuna nyakati ni ngumu kutambua ubaya wa jambo linalofanyika kwa wakati huo kutokana na madhara yake kuchukua muda mrefu.
Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Jimbo ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema maeneo ya ...
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za ...
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu wanne wakiwemo mawakala wawili wa Chadema na mgombea uenyekiti wa chama ...
Onyo la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) kwa wamiliki wa nyumba zinazohusishwa na dawa ...
Simba imeendelea kuwa na matokeo mazuri mfululizo baada ya kuichapa FC Bravos do Maquis ya Angola bao 1-0 kwenye mchezo wa ...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa umma akiwemo Profesa David Mwakyusa aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas).