MANCHESTER United inadaiwa kutaka kuifanyia umafya Liverpool katika usajili mwakani kwa kumchukua mchezaji mmoja ambaye timu hii imepanga kumsajili.