资讯

Kauli hiyo imetolewa jana, Julai 2, 2025, wilayani Longido, mkoani Arusha, na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji wakati wa uzinduzi wa kampeni ya utoaji chanjo na utambuzi wa ...
Chama hicho kimetoa maagizo hayo siku moja baada ya kufungwa kwa dirisha la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania ...
Akiwa Waziri Mkuu wa 10 baada ya uhuru wa Tanzania, Majaliwa amefanya kazi na marais wawili--hayati John Magufuli, aliyemteua ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyokuwa imetolewa awali Juni 15 mwaka huu, tamasha hilo la 10 lilitarajiwa kuanza Julai 19 hadi 26 ...
Amesema, Serikali itaendelea kutumika kama daraja kati ya Afrika na dunia, na kati ya ujuzi na fursa kutokana na usalama na ...
Spika wa Bunge la 12 ambalo limefikia ukingoni, Dk Tulia Ackson anasema tathmini inaonyesha kila bunge linapovunjwa na ...
Wito huo umetolewa leo Alhamis Julai 3, 2025 jijini Mwanza na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Omary Mtuwa wakati akitoa taarifa ...
Leo Alhamisi, Julai 3, 2025 katika ofisi ndogo za CCM jijini Dar es Salaam, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafuzo wa chama ...
Akizungumza leo Alhamis Julai 3, 2025 wakati wa shughuli ya kupokea mawakili 449, Jaji Mkuu Masaju pia, amewataka mawakili ...
Mwenyekiti wa MPC, Emmanuel Tutuba akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 3, 2025 amesema lengo la hatua hiyo ni ...
Baada ya kutokea taarifa ya majonzi kufuatia kifo cha mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota aliyeaga dunia akiwa na miaka 28 baada ya kupata ajali ya gari akiwa na ...
Viongozi wa dini watakiwa kuwahamasisha waumini wasijihusishe na vitendo vya rushwa hususani katika kipindi hiki cha kuelekea ...