资讯

Mfumo huu, unaotumia akili bandia (AI), unalenga kuboresha huduma za afya vijijini na maeneo yenye ufinyu wa rasilimali.
Dar es Salaam. Nyota wa muziki nchini Diamond ameeleza namna anavyotumia muziki wake kupenya kimataifa huku akifunguka ...
Waliofariki katika ajali hiyo ni watu 42, ambapo kwenye gari dogo aina Coaster walifariki watu 31 waliokuwa wanakwenda ...
Hatua hiyo ya pili inakwenda kutoa nafasi kwa kamati za siasa kuchuja wagombea na kutoa mapendekezo kwa kamati za juu hadi ...
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge amewashukuru wafanyakazi, wachezaji, watendaji, mashabiki ...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa hatogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika ...
Simba imemaliza msimu wa nne mfululizo bila ubingwa wa Ligi Kuu Bara wala Kombe la Shirikisho (FA), jambo lililowakata stimu ...
Mpaka sasa vifo vilivyokana na ajali ya barabarani vimefikia 42 huku majeruhi wawili waliosalia katika hospitali ya Rufaa ya ...
Jukwaa hilo ni mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali chipukizi kuonyesha biashara zao na kupata ujuzi wa kukuza shughuli zao za kiuchumi.
Dar es Salaam. Kampuni ya mawasiliano ya Yas leo imezindua rasmi huduma ya uchunguzi wa macho bila malipo kwa wananchi wanaotembelea banda lake lililopo katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ...
Amesema maendeleo hayo yanatarajiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa msongamano katika vituo vya mafuta, sambamba na kuharakisha matumizi ya gesi hiyo nchini kote.
Baada ya jopo la majaji kutoa uamuzi usiokamilika na kuifanya mahakama iwarudishe tena kujadili kuhusu kesi ya rapa Sean Diddy Combs, hatimaye uamuzi wa kesi hiyo umekamilika ...