News

NYOTA wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota, ameripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari ikiwa ni siku 10 tu ...
LISEMWALO kwa sasa ni kwamba Arsenal ipo kwenye hatua za mwisho za kunasa dili la straika Viktor Gyokeres ili akapige mzigo ...
MWILI wa binadamu unahitaji nishati ya kutosha kabla ya kuingia kwenye shughuli yenye matumizi makubwa ya nguvu kama ulivyo ...
DIRISHA la usajili wa mastaa la majira ya kiangazi huko Ulaya lipo wazi na sasa gumzo kubwa ni kuhusu huduma za mastraika.
STRAIKA Erling Haaland ameonekana kumshawishi kijanja kipa Yassine Bounou ajiunge Manchester City baada ya kuisaidia Al-Hilal ...
MABOSI wa Yanga wakishirikiana na benchi la ufundi la klabu hiyo, wameanza kupiga hesabu la kufyeka mastaa sita wa timu hiyo, ...
WAKATI usaili wa wagombea 25 waliojitokeza kuwania nafasi za kuliongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ukifanyika jana ...
WAKATI jopo la majaji wa Mahakama ya Shirikisho New York, Marekani, likitumia saa 13 ndani ya siku tatu kujadiliana kutoa ...
TABIBU wa timu ya Tanzania Prisons, Dk Damas Chinyele ametoa elimu kwa wachezaji namna wanavyotakiwa kuzingatia baadhi ya ...
SIMBA imemaliza msimu wa nne mfululizo bila ubingwa wa Ligi Kuu Bara wala Kombe la Shirikisho (FA), jambo lililowakata stimu ...
HII kali. Chelsea imeilipa Brighton Pauni 257 milioni kwenye miaka ya karibuni, mkwanja ambao unatosha kujenga uwanja wake wa ...
BAYERN Munich imeingia katika harakati za kutaka kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, ...